TAARIFA KWA UMMA: VIPINDI VYA MVUA KUBWA NA MAWIMBI MAKUBWA BAHARINI VINATARAJIWA KUNAZIA TAREHE 11 – 14 APRILI 2014
TAHADHARI HALI YA HEWA:Mvua kubwa, wimbi, pepo, zatarajiwa Z'bar, Dar, Tanga kuanzia Ijumaa, Mamlaka ya Hali ya Hewa yaonya. Huenda ikatokea Lindi, Mtwara, Morogoro...
No comments:
Post a Comment