BOMOA BOMOA USIKU SAA TISA
Nilishangaa sana nilipofika mjini na kukuta kuna vurugu asubuhi asubuhi nilipokuwa njiani nikielekea kazini, Niliona mabanda yaliyowekwa nje ya maduka yakiwa yapo katika hali mbaya na yananinginia. Waya za umeme na za vitu vingine vikiwa vinaninginia na kuleta hatari kwa wapita njia.
Baada ya kuwauliza watu ni nini kilichotokea, Nilielezwa kwamba watu wa jiji walikuja na kuanza kuyabomoa mabanda hayo wakati wa saa Tisa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Tarehe 10 April 2014.
Some of the owners were in total shock as they never expected that one fine morning when they go to their shop to earn the bread for their family they would see their shops damaged and would suffer this sudden loss.
Below are some of the pictures, some of which i clicked myself and other pictures i got from social networks.
MNASEMAJE KUHUSU HAYO YANAYOENDELEA MJINI DAR ES SALAAM??
Mtaa wa Zanaki - MARS TRAVELS
Mtaa wa Zanaki - MARS TRAVELS
Mtaa wa Bibi Titi Mohamed na Zanaki
Mtaa wa India - BATA
Mtaa wa India - MCSOMS
Mtaa wa India
Upanga - TUNAKOPESHA
Upanga - TUNAKOPESHA
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki - SUNCITY BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki - SUNCITY BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki - SUNCITY BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki - SUNCITY BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki - TTCL BUILDING
Mtaa wa Zanaki - TTCL BUILDING
Mtaa wa Zanaki - TTCL BUILDING
Mtaa wa India
Mtaa wa India
Mtaa wa Zanaki - ABBASI COLD DRINKS
Mtaa wa Zanaki - ABBASI COLD DRINKS
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki -BUDGET CAR RENTALS
Mtaa wa Zanaki -AKBER PHOTO CENTRE
Mtaa wa Zanaki -RICHIE RICH BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki -RICHIE RICH BUREAU DE CHANGE
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki
Mtaa wa Zanaki - MARS TRAVELS
Mtaa wa Zanaki - MARS TRAVELS