Free Palestine

Free Palestine

Sunday, April 13, 2014

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, KOVA, MKUU WA MKOA WA DAR NA DK. MAGUFULI WANUSURIKA AJALI YA HELIKOPTA


Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm. 

Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za helikopita hiyo ikizimwa moto:



Makamu wa Rais Dk. Bilal, Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

Imedhibitishwa ni kweli kupitia TBC walio nusurika ni

1. Makamu wa Rais, Dr. Bilal

2. Mkuu wa mkoa wa Dar, Sadik

3. Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Kova

Wamepata majeraha kidogo walikuwa wakikaguwa athari za mvua jijini