Free Palestine

Free Palestine

Friday, October 19, 2012

SHEIKH FARID AKIOMBEWA DUA NYUMBANI KWAKE BAADA YA KUPATIKANA - taarifa toka UAMSHO


SHEIKH FARID APATIKANA

Habari kutoka Mtandao wa jamii facebook.

"Sheikh Farid wa Uamsho (Zanzibar), ameonekanwa ndani ya shimo wakimpa maji ya chooni.

ameonekanwa maeneo ya bubwini.

Hakula kwa muda wa siku 3

Maswali aliyokuwa akiulizwa yafika 300."

UAMSHO


Source : From Social media

No comments:

Post a Comment