Free Palestine

Free Palestine

Wednesday, October 17, 2012

BREAKING NEWS : HALI SI SHWARI ZANZIBAR BAADA YA KUKAMATWA KWA KIONGOZI WA KIKUNDI CHA UAOMSHO ZANZIBAR.



















Askari wa kutuliza ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la uamsho ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha mawe kwa askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa Uamsho Sheikh Farid.








Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.





No comments:

Post a Comment