Free Palestine

Free Palestine

Thursday, April 04, 2013

MFANYABIASHARA RAZA HUSSEIN LADHA NA WENGINE 11 WAFIKISHWA MAHAKAMANI



Jeshi la polisi limewafikisha katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu washtakiwa 11 akiwemo mfanyabishara Raza Hussein Ladha waliohusika na ujenzi wa jengo la ghorofa 16 lililoporomoka katika makutano ya mtaa wa indira gandhi na barabara ya Morogoro na kusomewa mashtaka 24 ya kuua bila ya kukusudia.

Source : ITV, ISSAMICHUZI





Mfanyabiashara Raza Hussein Ladha, Diwani katika Manispaa ya Kinondoni na wenzao 9 Jana walifikishwa  Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka 24 ya kuuwa bila ya kukusudia.

Mawakili wa utetezi waliiomba mahakama kutoa dhamana kwa wateja wao kwa sababu mashtaka ya kuua bila ya kukusudia yanayowakabili yanadhaminika.

Mawakili wa serikali walipinga maombi hayo wakisema kuwa wakati huu si wa kutoa dhamana kwa kuzingatia mazingira ya tukio lililosababisha kuwepo kwa kesi hiyo.

Kutokana na hoja hizo, Hakimu aliiahirisha kesi hiyo hadi April 16, mwaka huu atakapotoa uamuzi iwapo washtakiwa wapate dhamana au la.

Wednesday, April 03, 2013

DAR ES SALAAM BUILDING COLLAPSE TRAGEDY IN PICTURES - 29 MARCH 2013

TRAGEDY IN DAR ES SALAAM


ON FRIDAY 29TH MARCH 2013 - 16 STOREY BUILDING COLLAPSED NEXT TO SHIA ITHNA ASHERI MOSQUE AT INDIRA GHANDI STREET IN DAR ES SALAAM RESULTING INTO SEVERAL DEATHS AND CASUALTIES.

SOURCE OF PICTURES : FROM MY FACEBOOK SOCIAL NETWORK